Mkutano huu ulikuwa ukihubiriwa na Ev:Jennifer Wilde kutoka USA pamoja na Siegfried Kutoka Ugerumani. Watu zaidi ya 300 wamempa Yesu Kristo maisha yao katika mkutano huo na wengine waliponywa magonjwa mbalimbali.
UTUKUFU NA HESHIMA APEWE MUNGU WA MBINGUNI

No comments:
Post a Comment