Friday, 28 December 2018

NATAKA KUSEMA by Vaileth Mrope.



Karibu sana.

BWANA YESU NAKUPENDA



Karibu sana.

Wednesday, 5 December 2018

Shaloom wapendwa wa Mungu wetu wa Mbinguni. Ninapenda kukujulisha kuwa tulikuwa na mkutano mkubwa wa Injili/ Neno la Mungu.
Mkutano huu ulikuwa ukihubiriwa na Ev:Jennifer Wilde kutoka USA pamoja na Siegfried Kutoka Ugerumani. Watu zaidi ya 300 wamempa Yesu Kristo maisha yao katika mkutano huo na  wengine waliponywa magonjwa mbalimbali.
UTUKUFU NA HESHIMA APEWE MUNGU WA MBINGUNI